Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Waislamu kwenye Vikosi vya Jeshi! Je kuna huduma kubwa zaidi ya kijeshi kuliko ile ya Sa’ad ibn Muadh (ra)?!

(Imetafsiriwa)

Enyi Waislamu wa Vikosi vya Jeshi! Je! Kuna huduma yoyote kubwa ya kijeshi kuliko ile ya Saad ibn Muadh (ra)? Sa’ad alitoa Nusrah kwa ajili ya kusimamishwa hukmu kwa yale yote aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu ﷻ. Sa’ad alishinda juu ya maadui. Malaika waliteremshwa kubeba mwili wake katika Janazah yake. Mwenyezi Mungu ﷻ alitabasamu na kiti chake cha enzi kilitingishika wakati wa kuipokea roho yake. Zingatieni maneno ya Sa'ad bin Mu'adh (ra) kwenye Vita vya Badr, wakati alipomwambia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ kwa maneno wazi, ya dhati, فوالذي بعثك، لو استعرضت بنا هذا البحر فخضته لخضناه معك، وما تخلَّف منا رجل واحد، وما نكره أن تلقى بنا عدونا غداً. إنا لصبر في الحرب، صدق في اللقاء. لعل الله يريك منا ما تَقَرُّ به عينك، فسر بنا على بركة الله  "Naap kwa yule aliyekutumiliza, lau utataka tujitumbukize kwenye bahari hii na ukajitumbukiza ndani yake, tutajitumbukiza pamoja nawe. Hakuna hata mtu mmoja atakayebaki nyuma. Hatupendi wazo la kukutana na adui yetu kesho. Sisi ni wazoefu katika vita, wenye uwezo wa kupigana. Inawezekana kuwa Mwenyezi Mungu ataturuhusu kukuonyesha kitu ambacho kitakuletea furaha, kwa hivyo tuchukue pamoja na baraka za Mwenyezi Mungu." Fufueni ari ya Badr katika nafsi zenu na muhamasike.

#خلافت_نیا_عالمی_آرڈر

#Khilafah_New_World_Order

Imetolewa Na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumapili, 21 Ramadhan 1445 H sawia na 31 Machi 2024 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#إحياء_روح _بدر

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#ReviveBadrSpirit

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu