- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Jeshi la Pakistan! Songeni kwa ajili ya Kuinusuru Gaza, kwa Kumtii Mwenyezi Mungu!
Televisheni ya serikali ya Pakistan ilisema mnamo 19 Machi 2025: “Pakistan inalaani vikali mashambulizi ya anga ya Israel.” Hivi ndivyo watawala wa Pakistan walivyolaani hujuma ya Mayahudi na jinai zake zinazoendelea dhidi ya Ukanda wa Gaza! Bila kusonga askari au kuinua silaha! Enyi Maafisa wa Jeshi la Pakistan! Je, mnawafuata watawala wanaofuata sera za dola za kikoloni na kuuweka utiifu kwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake (saw) nyuma ya migongo yao? Wanajifanya kana kwamba hawaegemei upande wowote huku ndugu zetu huko Palestina wakiuawa na kuangamizwa! Watawala hawa wanalinda maslahi ya dola za kiadui huku mauaji yakifanywa dhidi ya watu wa Palestina. Utiifu wenu kwao hautakuepusheni na fedheha ya dunia na adhabu ya Akhera, na mutajuta wakati majuto hayatafaa kitu.
#Time4Khilafah
Imetayarishwa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan
Ijumaa, 21 Ramadhan 1446 H sawia na 21 Machi 2025 M
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan