Jumamosi, 19 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/05/17
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Khilafah Rashida ya Pili Itaikomboa Palestina na Kashmir!

Mnamo Mei 5, 2025, balozi wa umbile la Kiyahudi nchini India, Reuven Azar, akitoa maoni yake juu ya shambulizi la Bahalkam, lililotokea mnamo 22 Aprili, alisema, "Tumedhamiria kusonga mbele kutetea misingi yetu, kanuni zetu na maadili yetu, na nina hakika kwamba India itafanya vivyo hivyo." Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema kweli aliposema: ﴿لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا﴾ Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina.” Umma wa Kiislamu na majeshi yake ni lazima wapigane na Mayahudi na washirikina wa Mashariki chini ya uongozi wa Khalifa muongofu anayetawala kwa yale yote aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu.

#Time4Khilafah

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Jumanne, 08 Dhu al-Qi'dah 1446 H sawia na 06 Mei 2025 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Tovuti Rasmi ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

 Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu