Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Ripoti ya Habari 12/29/2022
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika muendelezo wa amali za umma zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Sudan, kuhamasisha Umma wa Kiislamu na kunoa hamu yake ya kusimamisha tena Dola ya Khilafah Rashida, kwa kuunda rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na masuluhisho yake