Hizb ut Tahrir/ Wilaya ya Sudan: Maandamano Dhidi ya Ziara ya Waziri wa Kigeni Nchini Sudan.
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir/ Wilaya ya Sudan: Maandamano Dhidi ya Ziara ya Waziri wa Kigeni Nchini Sudan.
Hizb ut Tahrir/ Wilaya ya Sudan: Maandamano Dhidi ya Ziara ya Waziri wa Kigeni Nchini Sudan.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilianzisha kampeni pana ya kufichua uhalifu wa marekebisho katika bajeti ya mwaka 2020 na hilo ni kupitia amali za umma kadha wa kadha zilizofanywa iliyopita;
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iliandaa hotuba ya halaiki katika jimbo la Qadarif (Gedarif) mnamo 14/08/2020 kwa anwani:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iligawanya toleo la mapambano katika miji mingi ya Sudan kwa anwani "Marekebisho ya Bajeti Mwaka 2020 ni Kuendeleza Uharibifu katika uchumi wa Sudan kwa Kuutii Mfuko wa Fedha wa Kimataifa"
Hizb ut Tahrir / Wilaya Sudan ilifanya mkao wake wa kila mara, mkao wa kadhia za Ummah, siku ya Jumamosi 4 Dhu al-Hijjah 1441 H sawia na 25/7/2020 M, na ambao ulikuwa kwa anwani:
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya Mkao wake wa Kadhia za Ummah kwa anwani: Marekebisho ya Sheria ya Hivi Majuzi... Mtazamo Angavu Uliojengwa kwa Msingi wa Uislamu.
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan ulimzuru Ammi Sadiq, (Mwenyezi Mungu Amrehemu) ambaye ni miongoni mwa kizazi cha kwanza nyumbani kwake mnamo Jumanne, 16 Juni 2020 M. Ujumbe huo ulimjumuisha:
“Ni zipi sababu za kufunga Misikiti ya Mwenyezi Mungu ambapo tunaswali na kuinua mikono yetu kuomba janga hili la maambukizi limalizike?!”
Wanachama wa Hizb ut Tahrir na wakaazi wa Jiji la Al-Abyad pamoja na viungani mwake walihudhuria Kongamano la Khilafah ambalo lilifanyika siku ya Jumamosi, 5 Rajab 1441 H, sawia na 29/2/2020M katika Uwanja wa Uhuru Jijini Al-Abyad.
Waungaji mkono chama cha Hizb ut Tahrir walikusanyika katika Afisi yake iliyopo Al-Dukhaniyat katika kuunga mkono kuzikataa sera za IMF na kujisalimisha kwa nchi kwa ahadi za mkoloni.