Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Umma: Maandamano Katika Mji wa Sahara ya Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Halaiki ya watu wa mji wa Sahara viungani mwa Aleppo ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) na kulaani mabomu ya muungano wa makruseda.

Ijumaa, 13 Rabi al-Awwal 1442 H sawia na 30 Oktoba 2020 M

- Sehemu ya Maandamano -

- Kalima ya Amir Salim Wakati wa Maandamano Hayo -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 10 Novemba 2020 16:40

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu