Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Amali ya Jioni ya Ramadhan: “Mikataba ya Kimataifa... Mkataba wa Hudaybiyyah kama Mfano”
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia iliandaa amali ya jioni ya Ramadhan iliyopewa kichwa “Mikataba ya Kimataifa: Mkataba wa Hudaybiyyah kama Mfano” siku ya Jumapili, 8 Machi 2026, saa 4:00 PM kwa saa za Tunisia, katika Kituo cha Makongamano jijini Tunis.



