Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia: Michango ya Mashababu wa Hizb ut Tahrir katika Kongamano la Tatu Dhidi ya Ufisadi
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Michango ya mashababu wa Hizb ut Tahrir wakati wa Kongamano la Tatu – Dhidi ya Ufisadi lililokuwa kwa anwani “Ufisadi wa Kisiasa” lililo andaliwa na Baraza la Mahakama kuhusu Sheria, Haki na Usalama –Tunisia.