- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Matembezi ya Kuinusuru na Kuiombea Nusra Gaza
Mbele ya ushujaa ulioonyeshwa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea na kushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, uzingiraji wake na upigaji mabomu wake unaoendelea kwa miaka 18 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu katika miezi iliyopita kwa Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 100 wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa matembezi ili kuyataka majeshi ya Waislamu yataharaki kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauwaji wahalifu.
Ijumaa, 21 Rajab Tukufu 1445 H sawia na 02 Februari 2024 M
- Sehemu ya Amali ya Matembezi –
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/tunisia/3750.html#sigProId133e451e49
- Alama Ishara za Amali hii -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia: