Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia: Warsha ya Wanahabari

“Tume idhihirisha nguvu ya dola za wakoloni kwa nguvu ya jeshi”

Baada ya hukumu ya mahakama ya kijeshi dhidi ya Mkuu wa Afisi ya Kisiasa ya Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia Ustaadh Abdel Raouf Amiri kutokana na suala la kusambaza taarifa kwa vyombo vya habari zinazohusu ziara ya Wazayuni mjini Djerba na ulinzi wa usalama na jeshi… Hizb ut Tahrir ilifanya kongamano la vyombo vya habari pamoja na Mkuu wa Afisi ya Habari, Mohamed Shweikha, Mkuu wa Afisi ya Kisiasa, Bw. Abdul Raouf Al Ameri, na Mwanasheria Emad Eddin Haddouq. Warsha hii ilihusiana na mashtaka ya kidhulma, kuzorota kwa hali nchini na suluhisho lililo wasilishwa na Hizb ut Tahrir.

Alhamisi, 01 Dhul Qiddah 1440 H sawia na 04 Julai 2019 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 13 Juni 2020 08:06

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu