Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uholanzi

Matukio ya Kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah 1441 H – 2020 M

Hizb ut Tahrir / Uholanzi imefanya msururu wa matukio kufuatia muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni mkubwa, At Bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ikifanywa na Hizb ut Tahrir katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah 1441 H - 2020 M.

Jumatatu 28, Rajab 1441 H - Machi 23, 2020 M

Ustaadh Okay Pala (Abu Zain)
Mwakilishi kwa Vyombo vya Habari wa Hizb ut Tahrir Uholanzi

katika kumbukumbu ya 99 ya Kuanguka kwa Khilafah 1441 H – 2020 M

Jumatatu 21,  Rajab 1441 H – 16 Machi, 2020 M

AMALI MUBASHARA

"Hakuna Usalama bila ya Dola ya Khilafah kwa Njia ya Utume"

Hizb ut Tahrir / Uholanzi imeandaa matangazo moja kwa moja kupitia Mtandaoni kwa anwani: "Hakuna Usalama bila ya Dola ya Khilafah kwa Njia ya Utume" kukabiliana na masaibu ya wanadamu hivi leo kutokana na kusambaa kwa Virusi vya ugonjwa wa COVID-19, na kukosekana kwa hisia ya usalama, na hivyo hali ya Waislamu tangu kuangushwa Dola yao, mataifa yameitana dhidi yao, kama walivyo fungwa gerezani nchini China na kuteswa nchini Myanmar, India na nchi nyenginezo, nchi zao zimevamiwa na utajiri wao kuibwa, na sababu ya haya yote ni kukosekana kwa Imam ambaye walipigana nyuma yake kwa zaidi ya miaka 99, na nguzo haita patikana kwetu na hatutakuwa na chembe ya usalama isipokuwa kwa kuregea Dola iliyo asisiwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) kama ambavyo matangazo ya moja kwa moja yanavyo elezea njia ya Kisheria ya kusimamisha Dola ya Kiislamu.

Jumapili 27,  Rajab 1441 H -  Tarehe 22 Machi, 2020 M

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea tovuti  za Hizb ut Tahrir Uholanzi:

Ukurasa Rasmi wa Hizb ut Tahrir/ Uholanzi
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir/ Uholanzi
Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir/ Uholanzi
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir/Uholanzi

#ReturnTheKhilafah   #YenidenHilafet   #TurudisheniKhilafah         أقيموا_الخلافة#

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 05 Aprili 2020 22:37

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu