Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Uingereza: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu, tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Uingereza ndani ya wigo wa kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu

(Imetafsiriwa)

1 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

Ili Kusoma Taarifa Hii Bonyeza Hapa

[Matumaini Mapya ya Umma wa Uislamu!]

Jumamosi, 22 Rajab 1442 H sawia na 06 Machi 2021 M

- Kalima ya Ustadh Taji Mustafa -

[Wanaume Halisi dhidi ya Watawala Vibaraka!]

Watawala vibaraka walipandikizwa juu ya ulimwengu wa Kiislamu! Kwa nini wanaitwa "watawala vibaraka"? Wanatumikia maslahi ya nani? Je! Tulikuwa na watawala wa Kiislamu ambao walifanya kazi kwa ajili ya maslahi ya Umma?

Jumamosi, 15 Rajab 1442 H sawia na 27 Februari 2021 M

[Je, Waislamu Wanahitaji Khilafah?!]

Kipindi Picha Kubwa (The Big Picture) kwenye chaneli ya Nguzo Tano cha (5Pillars) kilimkaribisha Ustadh Yahya Nisbet, mwakilishi kwa vyombo vya habari wa Hizb ut Tahrir huko Uingereza, kujadili suala la miaka mia moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, na maswala kadhaa yakajadiliwa, pamoja na uhalisia wa Umma wa Kiislamu na haja yake ya Khilafah, na dalili za wajibu wake, na changamoto za sasa?

Jumatano, 19 Rajab 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Uingereza

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Uingereza

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Uingereza

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Uingereza

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Uingereza

Akaunti ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Uingereza

Mkusanyiko wa Picha

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu