Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah ya Uturuki: Amali za Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Chini ya uongozi wa Amiri wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa, Ata bin Khalil Abu al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni mnasaba wa karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na katika ukurasa huu tutaangazia amali zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki ndani ya wigo wa Kampeni ya kiulimwengu iliyozinduliwa na Hizb.

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

 

Semina kwa anwani "Je! Ummah Ulipata Hasara Gani kwa Kusitishwa Khilafah?"

 - Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuondolewa Khilafah Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanya semina kupitia mtandaoni kwa anwani: "Je! Ummah Ulipata Hasara Gani kwa Kusitishwa Khilafah?", Na wahadhiri walikuwa ni:

- Muhammad Amin Yildirim / Ulinganisho kati ya Historia ya Khilafah na Ulimwengu wa Magharibi.

- Khluk Uzdogan / Ni kitu gani muhimu zaidi tulichokipoteza kwa kusitishwa Khilafah?

- Abd al-Rahim Shin / Je! Kuondolewa kwa Khilafah kuliathiri vipi wanachuoni na wanafikra?

- Ercan Tekenbach / Je! Kuanguka kwa Khilafah kulipokewaje katika ulimwengu wa Magharibi?

Jumamosi, 01 Rajab Muharram 1442 Hijria sawia na 13 Februari 2021 M

 

- Angazo la Video ya Amali za Kiulimwengu katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah! -

Imeandaliwa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki

Jumatano, 18 Sha'aban 1442 H sawia na 31 Machi 2021 M

- Semina kwa Anwani "Kusimamisha Khilafah ni Kadhia Nyeti Inayonahitaji Kuchukua Hatua ya Uhai au kifo!" -

 

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki Semina ya pili ya Mtandaoni kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa Khilafah kwa anwani "Kusimamisha Khilafah ni Kadhia Nyeti Inayonahitaji Kuchukua Hatua ya Uhai au kifo!", ambayo alihadhiriwa na:

Musa Beyoglu: Kwa nini kuishi chini ya Khilafah ni uhai kwa Waislamu?

Ahmed Gilkan: Umuhimu wa Khilafah kwa Waislamu!

Sardar Yilmaz: Kwa nini Ummah Kusimamisha Khilafah Huzingatiwa kuwa ni Kadhia Nyeti Inayohitaji Kuchukua Hatua ya Uhai au kifo?

Yilmaz ilek: Nafasi ya Katika kazi ya Vikundi na Vyama!

Aydin Osalp: "Sheikh Saeed Biran al-Kurdi" na Mapinduzi Yake dhidi ya Kuvunjwa kwa Khilafah!

Jumamosi, 08 Rajab Muharram 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

- Kipindi: "Uislamu na Vijana": Vijana Wanazungumzia Kuhusu Khilafah! -

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanya kupitia Chaneli ya Mabadiliko mtandaoni kwa mnasaba wa miaka 100 ya kuvunjwa kwa Khilafah, na kupitia kipindi cha "Uislamu na Vijana" kinacho endeshwa na Ustadh Amra Akai, halaqa mpya kwa anwani "Vijana Wazungumzia Kuhusu Khilafah!"

Wazungumzaji ndani yake ni:

Wageni wa Studio: Mohamed Saleh Yaqout, Mahmoud Elibol

Viungo vya moja kwa moja: Muhammad Bodek, Wakili Tioman Thurman, na Rifat Chem

Jumatano, 12 Rajab Muharram 1442 H sawia na 24 Februari 2021 M

- Semina: "Hizb ut Tahrir na Khilafah!" -

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanya kupitia Chaneli ya Mabadiliko mtandaoni kwa mnasaba wa miaka 100 ya kuvunjwa kwa Khilafah, semina kwa anwani "Hizb ut Tahrir na Khilafah!", Wazungumzaji ndani yake ni:

Wageni wa Studio:

Mahmoud Kar / Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir katika Wilayat ya Uturuki

Suleiman Ugurlu / Mwandishi wa Sosholojia.

Viungo vya moja kwa moja:

Jonit Sari Yashar / mwandishi na mwanaharakati

Ahmed Saba / mwandishi wa Jarida la Mabadiliko Msingi

Jumamosi, 15 Rajab Muharram 1442 H sawia na 27 Februari 2021 M

- Televisheni ya Mageuzi Msingi -

[Video ya Kumbukumbu]

Majibu ya upuuzi wa wale walioipindua Khilafah!

Katika kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah, Televisheni ya mageuzi msingi ilipeperusha filamu ya kumbukumbu (Filamu ya Kumbukumbu ya Khilafah) inayoitwa "Majibu ya upuuzi wa wale walioipindua Khilafah" ambayo ilitoa majibu ya fikra nyingi zilizotolewa na wahalifu ambao waliiondoa Khilafah mnamo mwaka 1342 H - 1924 M ili kuhalalisha uhalifu wao. Katika filamu hii ya kumbukumbu, ambayo pia ilichangiwa na wataalamu, wasomi na waandishi katika uwanja huu, tunaelezea, kulingana na mwangaza wa dalili za Kisheria, uhalifu wa kuiondoa Khilafah na athari zake katika maisha ya Waislamu.

Mahojiano yalifanywa na:

Dkt. Abdul Rahim Chen / mwandishi katika thiolojia

Ustadh Ahmed Kalkan / Mwalimu na Mwandishi

Ustadh Abdullah Imamoglu / Mtaalamu katika Sharia ya Kiislamu

Ustadh Yilmaz Celik / Mwandishi wa Jarida la Mageuzi Msingi

Timu ya Utayarishaji:

Uwasilishaji: Profesa Muhammad Amin Yildirim

Mwelekezi: Profesa Omar Takmaz

Mwandishi wa Ilani: Profesa Suleiman Ugurlu

Mhariri Mkuu: Profesa Kurtuluch Sevensh

Utayarishaji: Nyumba ya Mabadiliko Msingi

Jumatano, 19 Rajab Muharram 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

- Semina: Khilafah sio Ndoto... Bali ni ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt)! -

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki ilifanyika kupitia Chaneli ya Mageuzi mtandaoni kwa mnasaba wa karne moja ya kuvunjwa kwa Khilafah semina kwa anwani "Khilafah sio Ndoto... Bali ni ahadi ya Mwenyezi Mungu (swt)!", ambayo wafuatao walizungumza ndani yake:

Wageni wa Studio:

Ustadh Mohamed Hanafi Yaghmour / mwandishi katika Jarida la Mageuzi Msingi

Ustadh Abdullah Imamoglu / Mtaalamu katika Sharia ya Kiislamu

Viungo wa moja kwa moja:

Ahmed Farawal / Mwandishi wa habari

Mustafa Sakji / Mkuu wa Wakfu wa Dar Al-Qur'an

Ahmed Saba / Mwandishi wa Jarida la Mageuzi Msingi

Uwasilishaji na Usimamizi:

Ustadh Kader Khashoggi

Jumatano, 19 Rajab Muharram 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

- Shairi -

03 Machi 1924 M ... Siku Nyeusi ya Umma wa Uislamu!

Jumatano, 19 Rajab Muharram 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

Ujasusi wa Erdogan Wawakamata Kina Dada Wanne kwa Kutaka Kwao Kusimamishwa Khilafah kutoka Ngome ya Amuriyah!

Kutokana na athari ya video, ambayo ilienezwa kwenye mitandao, kina dada wanne, na pamoja nao mwanamke wa miaka 16 kutoka juu ya ngome ya Amuriyah nchini Uturuki, ambapo walinyanyua bendera ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), na kuutaka Umma wa Kiislamu kwa maneno mafupi kuhamasika kusimamisha tena Khilafah, vibaraka wa Erdogan na ujasusi wake walizingira nyumba za Dada hao mnamo Jumanne asubuhi, 02/23/2021, na kuwakamata dada hao wanne, msichana mmoja mwenye umri wa miaka 16 na mtoto mchanga, na bado wangali mikononi mwa madhalimu hao... Na sisi pia tunapaza sauti yetu juu, "Sote tunataka kusimamishwa tena kwa Khilafah Rashida."

Shairi Lenye Kichwa: Je, Haijatutosha Miaka Mia!

1342 H - 1442 H

Na mshairi: Sardar Yilmaz

Msomaji: Mahmoud Kar

Jumamosi, 08 Rajab Muharram 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

Wito wa Khilafah katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah

Unapasuka kutoka kwenye kaburi la mpiganaji Ertugrul, Mwenyezi Mungu amrehemu, huko Bilecik

Jumapili, 09 Rajab Muharram 1442 H sawia na 21 Februari 2021 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

 

 

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurusa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Tovuti ya Jarida la Koklu Degisim

- Video -

- Ajizi ya Mipango na Nidhamu za Kisiasa! -

Ustadh Yusef Yauzkan / Wilayah Uturuki

[Miji 100 Inatamka Neno Lake!]

Chennai - Bilecik - Saadnayel

Jumanne, 04 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 16 Februari 2021 M

 [Miji 100 Inatamka Neno Lake!]

Islamabad - Amuriyyah - Khartoum Bahri

Ijumaa, 07 Rajab al-Muharram 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

 
 
 
Mkusanyiko wa Picha

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu