- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Halaqa ya Mjadala Mjini Sanliurfa Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Sanliurfa.
Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ndugu; Ustadh Mustafa Koçuk, Mwanauchumi Mehmet Hanafi Yaghmour, Dkt. Abdurrahim Shin, Ustadh Hakki Eren na Ustadh Abdullah Imamoglu.
Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa
Jumamosi, 25 Rajab Al-Muharram 1443 H sawia na 26 Februari 2022 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/2194.html#sigProIdd5d3a409e9
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki