- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Halaqa ya Mjadala Mjini Batman Kutafuta Suluhisho la Kiislamu kwa mgogoro wa kiuchumi
Ndani ya wigo wa msururu wa makongamano, semina na halaqa za mjadala zilizoandaliwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki chini ya kichwa "Suluhisho la Kiislamu kwa Mgogoro wa Kiuchumi", sanjari na mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 ya kuvunjwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H, Hizb ilikutana na wawakilishi wa vyama vya kisiasa, mashirika yasiyo ya kiserikali, wawakilishi wa vyombo vya habari vya ndani na walezi katika mji wa Batman.
Wazungumzaji katika mkutano huo walikuwa ni Ustadh Aydin Osalp, Mwanauchumi Mehmet Hanafi Yagmur, Ustadh Hakki IrIn na Ustadh Abdullah Imamoglu.
Kwa Mengi zaidi Bonyeza Hapa
Jumatatu, 27 Rajab Tukufu 1443 H – 28 Februari 2022 M
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/2203.html#sigProId63586c13f1
Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki