- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Makongamano na Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka Mia Miladiya ya Kuvunjwa Khilafah!
Kwa mnasaba wa miaka 100 M (103 H) ya makafiri wakoloni kwa msaada wa makhaini wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja dola ya Kiislamu (Khilafah Uthmani) na kuuondoa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka katika maisha ya Umma wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki inaandaa msururu/ wa makongamano, semina na mikutano mikubwa katika ngazi ya Uturuki chini ya Kichwa:
“Kutoka Karne ya Upotevu Hadi Mustakbali wenye Bishara Njema (Karne ya Uislamu)”
Tunawaalika Waislamu wote kuunga mkono amali zetu na kushiriki katika shughuli zetu ili kusimamisha Khilafah Rashida ya Pili kwa njia ya Utume, ahadi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, na bishara njema ya Mtume Wake, rehma za amani ya Mwenyezi Mungu zimshukie.
Jumapili, 22 Sha’aban 1445 H sawia na 03 Machi 2024 M
Kusoma Taarifa kwa Vyombo vya Habari iliyotolewa na
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Uturuki
Kwa Kichwa:
“Kutoka Karne ya Upotevu hadi Mustakbali wenye Bishara Njema (Karne ya Uislamu)!”
Jumatano, 18 Sha’aban 1445 H sawia na 28 Februari 2024 M
- Kanda ya Video ya Kongamano la Khilafah mjini Diyarbakir -
Jumapili, 22 Sha'aban 1445 H sawia na 03 Machi 2024 M
Kongamano kubwa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka mia moja ya kuvunjwa Khilafah
"Kutoka karne ya Upotevu hadi Mustakbali wenye Bishara Njema (karne ya Uislamu)!"
Jumatatu, 23 Sha'aban 1445 H sawia na 04 Machi 2024 M
- Picha kutoka kwa amali za kumbukumbu ya miaka mia moja ya kuvunjwa Khilafah -
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/3823.html#sigProIde365b962ef
- Alama Ishara za Kampeni na Kongamano na kila Mwaka -
#أقيموا_الخلافة
#ReturnTheKhilafah
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah
Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki