- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Katika Usiku wa Cheo (Lailat al-Qadr) Mikono Iliinuliwa Mbinguni Kuwaombea Waislamu wa Gaza!
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Uturuki katika usiku wa Lailat al-Qadr iliandaa amali kubwa katika maeneo 18 katika miji tofauti tofauti ya Uturuki yenye kichwa:
“Mikono Imeinuliwa Mbinguni Kuomba Dua kwa ajili ya Waislamu wa Gaza!”
Ambapo waumini walitoa qunut katika usiku wa Lailat al-Qadr kuwaombea nusra Waislamu wanaodhulumiwa huko Gaza na kutaka ufumbuzi wa kweli unaowakilishwa na kuhamasishwa majeshi ya Waislamu kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokalia kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.
Jumamosi, 27 Ramadhan 1445 H sawia na 06 Aprili 2024 M
- Sehemu ya Kisomo cha Dua katika Usiku wa Lailat al-Qadr kwa ajili ya Waislamu katika Mji wa Gaza Tukufu -
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/3872.html#sigProIdcb5db476e9
- Alama Ishara ya Amali -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki