- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Amali Kubwa “Usiisahau Gaza wala Usikubali Kusahauliwa Kwake!”
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi kumi na tano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 170,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa kote nchini Uturuki chini ya Kichwa:
“Usiisahau Gaza wala Usikubali Kusahauliwa Kwake!”
Kupinga suluhisho la dola mbili linalolazimishwa na kuwataka Waislamu kuungana chini ya bendera ya Khalifa mmoja mwenye kuyahamasisha majeshi mara moja kuwanusuru Waislamu wanyonge katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwenye makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.
Ijumaa, 10 Rajab Tukufu 1446 H sawia na 10 Januari 2025 M
- Dondoo za Amali Katika Miji Mbalimbali -
- Click to open image! Click to open image!

https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/4471.html#sigProIdded1f89d3d
Diyarbakir
Sanliurfa
Aydin
Gebze
Uskudar
- Alama Ishara za Amali -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies
Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki