- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Amali ya Umma “Moto mjini Gaza Hautazima, na Dhulma Haitakwisha!!
Katika kukabiliana na mauaji ya kikatili yanayoendelea (mauaji ya halaiki) yaliyofanywa na umbile halifu la Kizayuni dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya miaka miwili, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa, na kutoweka kwa Waislamu zaidi ya 220,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa usomaji wa taarifa kwa vyombo vya habari katika miji kumi mikubwa chini ya kichwa:
“Moto Hautazima Gaza, na Dhulma Haitakwisha!”
Hii ilikuwa ni kupinga kuendelea kwa ukaliaji wa kimabavu na mauwaji huko Gaza, licha ya kile kinachoitwa “kusitisha mapigano” kilichotangazwa huko Sharm el-Sheikh, Misri. Ambapo umbile nyakuzi la Kizayuni limekiuka makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyotangazwa 10 Oktoba 2015, si chini ya mara 500. Hadi sasa, zaidi ya Waislamu 360 kutoka Ukanda wa Gaza wameuawa. Miito ilitolewa kutoka viwanja vya umma ili kufichua lengo halisi la mpango unaoitwa kusitisha mapigano, ambao uliundwa na Rais wa Marekani Donald Trump na kufuatiliwa na washirika wake kwa dhamana kutoka Misri, Uturuki, na Qatar. Pia ilitaka serikali za nchi za Kiislamu ziwajibishwe kwa kimya chao kuhusu mauaji hayo na uvamizi unaoendelea.
Jijini Ankara, baada ya swala ya adhuhuri katika Msikiti wa Hacı Bayram Veli, matembezi yaliyobeba mabango ya Tawhid yalianza, lakini vikosi vya usalama viliyazuia kuendelea. Matembezi hayo yaliposimamishwa, Waislamu katika uwanja huo waliimba, “Bendera ya Uislamu, bendera ya Tawhid!” Baada ya mabishano na vikosi vya usalama, vikwazo kwenye mabango ya Tawhid viliondolewa, na matembezi yakaendelea. Waandamanaji waliimba “Allahu Akbar” (Mwenyezi Mungu ni Mkubwa zaidi) na kaulimbiu kama vile “Majeshi yaelekee Al-Aqsa,” “Mpango wa kusitisha mapigano ni mtego wa makafiri,” na “Kamwe sitakuwa rafiki wa Amerika, mimi ni Muislamu, Muislamu.”
Taarifa kwa vyombo vya habari ilisisitiza kwamba watawala waliodhamini hawajafanya chochote kwa Gaza inayokufa na, kama kawaida, wamebaki kimya! Hawakuweza hata kulaani kinachoendelea ili kulinda viti vyao vya utawala!
Mpango wa Trump ulielezewa kama mpango muovu unaolenga kuvunja utashi wa upinzani, kuhalalisha uvamizi, na hata kuanzisha utawala mpya wa kikoloni juu ya Ukanda wa Gaza.
Taarifa hiyo kwa vyombo vya habari iliutaka ulimwengu wa Kiislamu kuungana, ikisisitiza kwamba suluhisho haliko kwa Umoja wa Mataifa, unaotawaliwa na Magharibi ya kikoloni, bali ni kwa Dola ya Khilafah Rashida ya pili ya kwa njia ya Utume—uongozi pekee wa kisiasa wa Ummah wa Kiislamu.
Jumapili, 16 Jumada al-Akhir 1447 H, sawia na 7 Disemba 2025 M

- Picha kutoka kwa Amali ya Usomaji Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuinusuru na Kuiombea Nusra Gaza al-Izza -
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
https://hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/5186.html#sigProIde626718d61

- Alama Ishara za Amali -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya X ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Chaneli ya Daily Motion ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Tovuti ya Jarida la Kokludegisim




