Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki Yahitimisha Kongamano la Mwisho la Kampeni:

"Uislamu Unalinda Familia, Vizazi na Mujtamaa!"


Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki itaandaa kongamano la kuhitimisha amali za kampeni pana "Uislamu Unalinda Familia. Vizazi na Mujtamaa!" ambazo zilijumuisha uandaaji wa makongamano yalio peperushwa moja kwa moja, warsha na mahojiano pamoja na watu tofauti tofauti. Kongamano hili litafanyika mnamo Jumamosi, 04 Shaaban 1441 H sawia na 28 Machi 2020 M saa 7:30 jioni, na litapeperushwa kupitia akaunti za mitandao yote ya kijamii ya Köklu Değişim TV.

Mpangilio huu utawasilishwa na Ustaadh Mahmoud Kar, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki, Suleyman Uğurlu, mtafiti wa kisiasa na mmoja wa waandishi wa Jarida la Köklu Değişim (Mabadiliko Halisi). Wataalamu wa mada hii watajiunga na mpangilio huu moja kwa moja na watachukua maswali kutoka kwa wageni walio studioni, jumbe na matokeo ya kampeni. Na kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, taarifa ya kuhitimisha itasomwa mwishoni mwa kongamano hili.  

Tunawakaribisha wafuasi wetu wote na wale walio na hamu ya kutufuatilia kupitia mitandao iliyo tajwa.

Jumamosi, 04 Shaaban 1441 H sawia na 28 Machi 2020 M

Hotuba ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
wakati wa Kongamano la Kuhitimisha Kampeni: "Uislamu Unalinda Familia, Vizazi na Mujtamaa!"

Değişim TV

Aileyi Koru

Youtube

Twitter

Facebook

#AileyiNesliToplumuKoru

 

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 20 Mei 2020 06:34

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu