Jumanne, 21 Rajab 1446 | 2025/01/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Uzbekistan:

Amali zilizoandaliwa wakati wa Kampeni ya Kiulimwengu, “Kufunguliwa kwa Kostantinopol Bishara njema ilitimia…itafuatiwa na Bishara njema nyingine”!

Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu (swt) Amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ilizindua kampeni pana ya kiulimwengu katika tukio la kumbukumbu ya hijria ya Ufunguzi wa Kostantinopoli  (Kostantinopoli, mji wa mfalme Hirakila) ambao ulizingirwa mnamo 26 Rabii’ al-Awwal hadi 20 Jumadal al-Awwal 857 H ambayo ni sawia na 5 Aprili hadi tarehe 29 Mei 453 M ikiashiria kutimia kwa bishara ya hadithi tukufu ya Mtume (saw)

لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Kwa yakini Mtaifungua Kostantinopoli, Amir bora ni Amir wake, na Jeshi bora ni Jeshi hilo.”

Hizb ut Tahrir / Uzubekistan nayo ilijitosa katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa njema zote anastahiki Mwenyezi Mungu (swt).

Ijumaa 15, Jumadal al-Awwal 1441 H  -  10 Januari, 2020 M

Darsa na Ustaadh Islam Abu Khalil-

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Uzbekistan

Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Ukombozi wa Kostantinopoli

Jumatano 20, Jumada al-Awwal 1441 H - 15 Januari, 2020 M

-Darsa na Ustaadh Rahmat Allah-

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Uzbekistan

Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Ukombozi wa Kostantinopoli

Jumatano 20, Jumada al-Awwal 1441 H  -  15 Januari, 2020 M.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali zuru tovuti za Hizb ut Tahrir / Uzbekistan

Ukurasa Rasmi wa Hizb ut Tahrir/ Uzbekistan
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir/ Uzbekistan
Akaunti ya Telegram ya Hizb ut Tahrir/ Uzbekistan
Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir/ Uzbekistan
Tovuti ya Kiislamu ya Uzbekistan

Alama Ishara za Kampeni

#فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 16 Aprili 2020 08:38

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu