Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Silsila "Kalima katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah!"

Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi, Hizb ut-Tahrir amezindua kampeni pana ya kiulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja Hijria ya kuvunjwa kwa Khilafah, 28 Rajab al-Muharram 1442 H / 2021 M, na kwa mnasaba huu Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut-Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za afisi kuu ya habari, silsila mpya ya video kutoka vipindi vya Al-Waqiah TV kwa anwani: "Katika Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah: Miji 100 Inatamka Neno Lake!" Nayo ni ibara kutoka katika kalima za kaka zenu na dada zetu kutoka maeneo tofauti tofauti kote ulimwenguni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya karne moja ya kuvunjwa kwa Dola ya Uislamu (Khilafah). Basi kuweni pamoja nasi ...

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumamosi, 01 Rajab 1442 H sawia na 13 Februari 2021 M

- Nchi za Waislamu ni Uwanja wa Mapambano ya Mkoloni Kafiri -

Mhandisi Abdullatif As-Shatti / Wilayah Kuwait

- Je, Haijatutosha Miaka 100 Bila ya Khilafah?! -

Ustadh Rola Ibrahim / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumapili, 02 Rajab 1442 H sawia na 14 Februari 2021 M

- Khilafah iliangushwa ... Na Masaibu Yakatawala juu ya Ummah -

Ustadh Sam Mohabbat / Denmark

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatatu, 03 Rajab 1442 H sawia na 15 Februari 2021 M

- Mafundo ya Uislamu Yamefunguliwa kwa Kukosekana Khilafah iliangushwa -

Ustadh Yasmine Malek / Uholanzi

- Miaka 100 Bila ya Khilafah -

Dkt Ibrahim Al-Tamimi / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumanne, 04 Rajab 1442 H sawia na 16 Februari 2021 M

- Kuanguka kwa Khilafah na Matokeo Yake -

Umar Husain / Malaysia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Alhamisi, 06 Rajab 1442 H sawia na 18 Februari 2021 M

- Kwa Kuanguka Khilafah, Ukafiri Umeweza Kutawala Ulimwengu -

Ustadh Burhan Samman / Ardhi Iliyo Barikiwa (Palestina)

- Tulikuwa Wapi na Tumefikia Wapi Baada ya Kuanguka Khilafah?! -

Ustadh Syed Saeb / Sweden

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Ijumaa, 07 Rajab 1442 H sawia na 19 Februari 2021 M

- Kuanguka Khilafah na Matokeo Yake -

Fareez Au Aidan / Malaysia

- Isimamisheni Enyi Waislamu -

Dkt Asaad Aloujeili / Wilayah Tunisia

- Hujma Kali kutoka Magharibi na Wasaidizi Wake juu ya Uislamu na Matukufu Yake -

Dkt Muhammad Afeef Shadeed / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

- Kuanguka kwa Khilafah na Athari Zake -

Dkt Abdel Rafe / Amerika

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumamosi, 08 Rajab 1442 H sawia na 20 Februari 2021 M

- Litambueni Chimbuko la Izza Yenu, Enyi Waislamu -

Sheikh Ahmad Hajj Ahmad / Wilayah Syria

- Ummah wa Kiislamu na Kufanya Kazi kwa Ajili ya Khilafah -

Ustadh Umar Saad / Denmark

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumapili, 09 Rajab 1442 H sawia na 21 Februari 2021 M

- Enyi Waislamu... Hakika Khilafah ni Kadhia ya Uhai au Kifo -

Yousef Arsalan / Wilayah Afghanistan

- Mamlaka ya Ummah Yaliyoporwa -

Mhandisi Osama Thuwayni / Wilayah Kuwait

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatatu, 10 Rajab 1442 H sawia na 22 Februari 2021 M

- Wito kwa Ummah wa Kuyarudisha Mamlaka Yake Yaliyoporwa -

Dorra Bakoush / Wilayah Tunisia

- Ujumbe kwa Wanachuoni, Wanajeshi na Vijana; Khilafah ni Taji la Faradhi Zote -

Abu Amr / Malaysia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumanne, 11 Rajab 1442 H sawia na 23 Februari 2021 M

- Hadi Lini Enyi Waislamu? -

Abu Islam / Sweden

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatano, 12 Rajab 1442 H sawia na 24 Februari 2021 M

- Ujumbe kwa Vijana! -

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Iraq

- Kuirudisha Khilafah Tuliyoipoteza! -

Ahmad Aman / Amerika

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Alhamisi, 13 Rajab 1442 H sawia na 25 Februari 2021 M

- Wito kwa Wanachuoni, Watoto wa Kiume na wa Kike wa Umma, Warudishe Utawala wa Uislamu! -

Maryam Nur / Wilayah Uturuki

- Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! -

Sheikh Ibrahim Uthman (Abu Khalil)

Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Sudan

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Ijumaa, 14 Rajab 1442 H sawia na 26 Februari 2021 M

- Kheri ya Umma! -

Ustadh Khobayb Karabaka / Wilayah Tunisia

- Wito kwa Vijana wa Umma Waunganishe Juhudi Zao kwa Ajili ya Khilafah! -

Nur Rehber / Wilayah Uturuki

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumamosi, 15 Rajab 1442 H sawia na 27 Februari 2021 M

- Na katika Hilo Nawashindane Wenye Kushindana! -

Ustadh Abu Hisham / Uholanzi

- Ahadi ya Utiifu (Bay'ah) ni Wajib na Kushikamana Kwayo ni Wajib -

Ustadh Ameen Wahdan / Amerika

- Wito kwa Waislamu -

Ustadh Abdul Raouf Al-Ameri / Wilayah Tunisia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumapili, 16 Rajab 1442 H sawia na 28 Februari 2021 M

- Ni kwa Nini Kazi ya Khilafah?! -

Ustadh Abdul Rahman Zayoud / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

- Wito kwa Vijana wa Kiislamu -

Ustadh Mahmoud Kar

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatatu, 17 Rajab 1442 H sawia na 01 Machi 2021 M

- Wajibu Uliofungamana Juu ya Umma kwa Ajili ya Kusimamisha Tena Khilafah -

Ustadha Thorayya Amal Yesna / Australia

- Simameni Kuelekea Izza Yenu, Enyi Waislamu -

Ustadh Said Fadel  / Wilayah Misri

- Kwa Yakini Mwenyezi Mungu Atawanusuru Wale Wenye Kumnusuru -

Ustadh Nasser Abdul Hai / Wilayah Syria

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumanne, 18 Rajab 1442 H sawia na 02 Machi 2021 M

- Kiongozi Asiyewadanganya Watu Wake! -

Mhandisi Abdullatif Satti / Wilayah Kuwait

- Enyi Waislamu Tunawalingania Kufanya Kazi kwa Ajili ya Kusimamisha Khilafah! -

Ustadh Yilmaz Celik / Wilayah Uturuki

- Kwa Kurudi Khilafah Kutakuwa na Mafanikio! -

Ustadh Muhammad Abu Kar / Uholanzi

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatano, 19 Rajab 1442 H sawia na 03 Machi 2021 M

- Enyi Waislamu... Isimamisheni Khilafah! -

Ustadh Habibullah / Afghanistan

- Hizb ut Tahrir Inakuongozeni katika Kheri Basi Inusuruni! -

Ustadh Khaled Said / Gaza Tukufu - Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

- Je, Nafsi Hazitamani Siku ya Izza na Kunyanyuliwa? -

Ustadh Hisham Al-Andalusi / Ubelgiji

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Alhamisi, 20 Rajab 1442 H sawia na 04 Machi 2021 M

- Khilafah ni Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Kamwe Mwenyezi Mungu Hahalifu Ahadi Yake -

Ustadh Ahmad Abdul Wahhab / Afghanistan

Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria

- Kwa Nini Hizb ut Tahrir? -

Ustadh Usama Thuwaini / Wilayah Kuwait

- Umma wa Qur'an -

Ustadh Muhammad Sahbani / Wilayah Tunisia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Ijumaa, 21 Rajab 1442 H sawia na 05 Machi 2021 M

- Wito kwa Wanawake wa Umma Kujiunga na Kazi ya Hizb ut Tahrir -

Dada Ihsan Biza / Wilayah Uturuki

- Khilafah na Jukumu la Kuisimamisha Kwake! -

Ustadh Khaled Mashaal / Wilayah Afghanistan

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumamosi, 22 Rajab 1442 H sawia na 06 Machi 2021 M

- Inatosha Miaka 100 ya Upotevu! -

Na Mwadhama Sheikh Said Ridhwan (Abu Imad) / Wilayah Jordan

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumapili, 23 Rajab 1442 H sawia na 07 Machi 2021 M

- Sifa za Zinazo Hitajika katika Mapambano ya Kiislamu ya Kuugeuza Ulimwengu! -

Dkt. Fika Komara / Indonesia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatatu, 24 Rajab 1442 H sawia na 08 Machi 2021 M

- Bishara Njema ya Kurudi kwa Khilafah na Tamkini kwa Umma! -

Hajja Ummu Obada / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

- Bishara Njema ya Kurudi kwa Khilafah! -

Abdulhakim Othman / Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir Malaysia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumanne, 25 Rajab 1442 H sawia na 09 Machi 2021 M

- Nusra ya Watu Wenye Nguvu Ndio Kudhihiri kwa Dini -

Ustadh Usama Thuwayni / Wilayah Kuwait

- Bishara Njema na Wito kwa Majeshi ya Waislamu Watoe Nusra Yao kwa Ajili ya Kuhukumu kwa Uislamu -

Dada Zahra Malik / Wilayah Uturuki

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumatano, 26 Rajab 1442 H sawia na 10 Machi 2021 M

- Mabadiliko ya Kiulimwengu Yanatoa Njia ya Kusimamishwa kwa Khilafah -

Ustadh Rubai Chalabi / Sweden

- Uislamu ni Mfumo wa Maisha -

Ustadh Abdul Salaam / Wilayah Sudan

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Alhamisi, 27 Rajab 1442 H sawia na 11 Machi 2021 M

- Bishara Njema kwa Waumini... Nusra ya Mwenyezi Mungu iko Karibu -

Ustadh Elias Lamrabet / Denmark

- Khilafah ni Ahadi na Faradhi -

Ustadh Abed / Wilayah Afghanistan

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Ijumaa, 28 Rajab 1442 H sawia na 12 Machi 2021 M

- Khilafah ni Ufunguo wa Izza na Tamkini -

Dkt Musab Abu Arqoub / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

- Ni Nani wa Kuisimamisha Asiyekuwa Nyinyi! -

Sheikh Ahmad As-Sufi (Abu Nizar Ash-Shami) / Wilayah Lebanon

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumamosi, 29 Rajab 1442 H sawia na 13 Machi 2021 M

- Bishara Hii Njema ni kwa Ajili ya Nani -

Ustadh Nabil Hijazi / Australia

[ Kalima za Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah ]

Jumapili, 30 Rajab 1442 H sawia na 14 Machi 2021 M

- Nidhamu ya Khilafah ni Nidhamu ya Kipekee -

Ustadh Muhammad Jameh (Abu Ayman) / Wilayah Sudan

- Nidhamu ya Khilafah ni Nidhamu ya Kipekee -

Mhandisi Baher Swaleh / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina)

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu