Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV:

Silsila "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!"

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu ya Habari silsila mpya ya video kutoka kwa vipindi vya Al-Waqiyah TV zenye kichwa "Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!" Ni msururu wa maswali na majibu mafupi ambayo yanazungumzia jumla ya fahamu na fikra kadhaa zinazohusiana na njia sahihi ya Ummah kuelekea kwenye mabadiliko msingi ya kufikia mwamko sahihi na kuwaongoza wanadamu kwenye nuru ya Uislamu na uadilifu wake.

Basi kuweni pamoja nasi…

[Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!]

- Kipindi cha Kwanza -

Je, Yajuzu Kuanzisha Vyama vya Kisiasa katika Uislamu?!

Jumatano, 01 Rajab 1443 H sawia na 02 Februari 2022

[Kwa Ambaye Jambo Hili Linamhusu!]

- Kipindi cha Pili -

Ni Ipi Kazi ya Vyama vya Kisiasa Kabla ya Kusimama Khilafah?

Alhamisi, 02 Rajab 1443 H sawia na 03 Februari 2022 M

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#الخلافة_101

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu