Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV: Je, Tunapaswa Kujibu Vipi Maandamano ya Iran ya Kupinga Hijab?!

[Al-Waqiyah TV]

Je, Tunapaswa Kujibu Vipi Maandamano ya Iran ya Kupinga Hijab?!

Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu zengine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo kwa Hijab na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao. Katika baadhi ya maandamano hayo wanawake wamekuwa wakichoma hijab zao na kukata nywele zao kuonyesha hasira na upinzani wao kwa utawala wa serikali ya Iran unaojiwasilisha kama kielelezo cha Kiislamu cha utawala.

Hivyo, je maandamano haya yanalenga kufikia nini? Mfumo wa kisiasa wa Iran ni wa Kiislamu kivipi? Na je kama Waislamu tunapaswa kujibu vipi maandamano haya ya kupinga hijab? Haya ni baadhi ya maswali tunayotarajia kuyajibu katika mjadala huu.

Jumamosi, 05 Rabi-ul Awwal 1444 H sawia na 01 Oktoba 2022 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu