- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
[Al Waqiyah TV]
- Toleo la Hizb ut Tahrir -
Enyi Waislamu: Hakika munaona jinai za Mayahudi kwenye kivuko cha Rafah na Gaza, bali Palestina yote, na watawala hawahamasishi jeshi kuinusuru, bali wanasahau mistari yao mekundu! Wameridhika na upatanishi wa Marekani na wafuasi wake!
Imetolewa na: Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Katika matoleo na Chaneli ya Al-Waqiyah
Ili kusoma Toleo hilo Bonyeza Hapa
Jumatatu, 05 Dhu al-Qa’dah 1445 H sawia na13 Mei 2024 M
Kwa Maelezo zaidi Bonyeza Hapa
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies