Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: "Majeshi ya Afrika Kaskazini lazima yarejeshe jukumu lao katika kuikomboa Palestina"
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Matembezi ya 44 mfululizo yalifanyika tangu kuanza kwa Vita vya Kimbunga cha Al-Aqsa, yakianzia mbele ya Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu wa Tunis, hadi barabara ya Al-Thawra, ambayo yaliitishwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia kwa watu wa Al-Zaytouna, na kichwa chake kilikuwa “Majeshi ya Afrika Kaskazini lazima yajiandae dori yao katika kuikomboa Palestina”.