Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Katika Usiku wa Cheo (Lailat al-Qadr) Mikono Iliinuliwa Mbinguni Kuwaombea Waislamu wa Gaza!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir/Wilayah ya Uturuki katika usiku wa Lailat al-Qadr iliandaa amali kubwa katika maeneo 18 katika miji tofauti tofauti ya Uturuki yenye kichwa: “Mikono Imeinuliwa Mbinguni Kuomba Dua kwa ajili ya Waislamu wa Gaza!”