Minbar ya Ummah: Matembezi ya Takbira na Tahlil katika Mji wa Killi!
- Imepeperushwa katika Minbar Ummah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kuhuisha Sunnah ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah.
Kuhuisha Sunnah ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah.
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 57 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Matembezi ya Takbira na Tahlil katika Mji wa Idlib.
Ni Wakati Sasa kwa Majeshi ya Pakistan Kuweka Mambo Sawa katika Eneo Letu.
Filamu ya makala iliyotayarishwa na jarida la Kokludegisim (linalochapishwa na Hizb ut-Tahrir nchini Uturuki) inaangazia mashtaka yasiyo haki ya idara ya mahakama ya Uturuki dhidi ya mashababu wa Hizb ut-Tahrir na ukinzani wa kimahakama katika hukumu zilizotolewa na utawala dhalimu juu yao.
Kuhuisha Sunnah ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika siku kumi za mwanzo za Dhul-Hijjah.
Video inayowalingania Waislamu kutoka madhehebu na makabila yote, wake kwa waume, vijana kwa wazee, kufanya kazi pamoja na Hizb ut Tahrir kwa ajili ya kusimamisha tena Khilafah.