Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kutaka Kuhamasishwa Majeshi ili Kuinisuru Gaza Kutaendelea licha ya Ukamataji Mashababu wa Hizb ut Tahrir!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Watawala wa Pakistan wanawatia mbaroni miongoni mwa safu za Hizb ut Tahrir/Wilayah Pakistan ili kuizuia Hizb kutaka kuhamasishwa jeshi la Pakistan kuinusuru Gaza. Lakini Umma mzima unatoa wito kwa majeshi yake kupigana jihad ili kufikia moja kati ya mema mawili ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, basi ukamataji huo utawazuia vipi watu wake?!