Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Armnaz cha Kuwanusuru Ndugu Zetu Huko Daraa

Kikundi cha watu wa mji wa Armanaz viungani mwa Idlib walijitokeza katika kisimamo cha kuwanusuru ndugu zetu huko Daraa (Tafas).

Alhamisi, 15 Jumada II 1442 H, sawia na 28 Januari 2021 M

- Kalima ya Ustadh Amer Al Salem wakati wa maandamano hayo -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu