Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Minbar ya Ummah: Kisimamo cha Kafar Takharim cha Kuinusuru Tafas huko Daraa

Kikundi cha watu wa Kafar Takharim, miongoni mwa wahamiaji kutoka Daraa, na wakaazi wa Kafar Takharim, walijitokeza baada ya swala ya Ijumaa, katika kisimamo ambacho kiligeuka kuwa maandamano ambayo yazagaa mabarabarani kuunusuru mji wa Tafas huko Daraa.

Ijumaa, 16 Jumada Al-Akhir 1442 H sawia na 29 Januari 2020 M

- Sehemu ya Amali ya Kisimamo -

- Kisimamo cha Kafar Takharim cha Kuinusuru Tafas Chageuka na kuwa Maandamano Yaliyochukua Saa Moja -

- Kalima ya Abdul Dili Wakati wa Kisimamo -

- Kalima ya Abu Umar Haj Asad Miongoni wa Wakaazi wa Kafar Takharim Wakati wa Kisimamo -

- Mahojiano na Miongoni mwa Washiriki katika Maandamano ya Kafar Takharim -

Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu