- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Minbar ya Ummah: Maandamano ya Jioni Mjini Idlib Kupinga Kauli za Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki Kuhusu Maridhiano na Utawala wa Syria!
Maandamano ya jioni katika mji wa Idlib kupinga kauli za wizara ya mambo ya nje ya Uturuki kuhusu maridhiano na utawala wa Syria!
Jumatano, 19 Muharram Tukufu 1444 H – 17 Agosti 2022 M
Kumbuka: "Minbar ya Ummah" ni kituo maalumu kinachopeperusha rekodi zilizochaguliwa za Khilafah zilizoandaliwa na watoto wa Ummah wetu. Rekodi hizo hazikutolewa na Hizb ut Tahrir au vitengo vyake rasmi; bali ni rekodi kutoka kwa watoto wa Ummah wa Kiislamu; ambazo zinapeperushwa katika tovuti yetu ili kueneza kheri kwa ajili ya Uislamu na Waislamu.