Majaribio ya Kukata Tamaa ya Kuwabandikiza Mukhlisina na Fikra zao kuwa ni Misimamo Mikali na Ugaidi
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Gazeti la Al-Fajr liliripoti mnamo Jumamosi, 2/11/2019, kile ilichokiita kuwa janga; uwepo wa tovuti 10 kubwa duniani chini ya udhibiti wa Qatar na Uturuki.