Maisha Chini ya Urasilimali ni Mateso na Yamekuwa ni Mfano Kamili ya Jahannam Ardhini
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maisha Chini ya Urasilimali ni Mateso na Yamekuwa ni Mfano Kamili ya Jahannam Ardhini
Maisha Chini ya Urasilimali ni Mateso na Yamekuwa ni Mfano Kamili ya Jahannam Ardhini
Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh inatoa rambi rambi zake za dhati kwa Waislamu waliofiwa wa wilaya ya mbali ya milima ya Bandarban ya Bangladesh ambao wamempoteza kiongozi wao mhamasishaji Omar Faruk Tripura, Mwislamu mwenye umri wa miaka 55 aliyeuawa mbele ya nyumba yake kama shahidi (inshaAllah) mikononi mwa maadui wa Uislamu.
Mnamo Juni 6 2021 mawaziri wa Fedha wa Afrika Mashariki waliwasilisha bajeti zao za taifa kwenye mabunge yao kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022
Mnamo Siku ya Jumapili tarehe 6 Juni, familia moja ya Kiislamu jijini London, Ontario, Canada iliuawa katika shambulizi la kuogofya la kigaidi na dereva ambaye aliwakanyaga kwa makusudi ndani ya lori,
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan chini ya uongozi wa Msemaji Rasmi Ibrahim Othman Abu Khalil, akiandamana na Ustadh Nasser Ridha Muhammad Othman
Kulingana na wanaharakati na mawakili wa Palestina, umbile vamizi la Kiyahudi limeimarisha ulengaji wao wa watoto wa Kipalestina kwa ajili ya kuwakamata kwa wiki chache zilizopita kama sehemu ya "Operesheni Sheria na Utangamano", ambao wengi wao wamepigwa kinyama na kuteswa kisaikolojia.
Kwa kushikilia mila yao ya zamani ya kuudanganya Ummah, waziri wa mambo ya nje, wizara ya mambo ya nje na maafisa wengine wa serikali waliwarusha vumbi machoni mwa Waislamu, wakikanusha kwa nguvu kuwepo kwa kambi ya kijeshi ya Amerika.
Alhamisi Tarehe 10, Juni 2021 Waziri wa Fedha Ukur Yattani alisoma bajeti ya mwaka 2021/2021 ya Shilingi trilioni 3.632.
Ni miaka tisa sasa tangu Huduma za Ujasusi za Pakistan (ISI) kumteka nyara Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan, Mhandisi Naveed Butt, mnamo Mei 11, 2012. Kuhusiana na tukio hili, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan imetoa taarifa mbili kwa vyombo vya habari: