Kwa Kuifungulia Anga na Bahari Amerika, Serikali ya Bajwa-Imran Yatekeleza Dori ya Mwajiriwa wa Kati na Kati wa Kusahilisha Maslahi ya Amerika Nchini Afghanistan
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waislamu wa Pakistan na vikosi vyao vya kijeshi wanapinga dori ya serikali ya Bajwa-Imran ya kuwa mwajiriwa mwenye kusahilishia jeshi la Amerika nchini Afghanistan, pamoja na idhini yake kuifungulia Amerika anga na bahari ili kuweza kusaidia uwepo wake wa kimsalaba nchini Afghanistan.



