Kwa kuzingatia Kuenea kwa Ushoga na Utamaduni wa Uzinzi, Mitandao ya Uhalifu Inawalenga Watoto nchini Lebanon
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mfumo huu fisadi na wenye kufisidi wa kirasilimali haujaharibu watoto tu, bali pia umeangamiza wanadamu wote. Yeyote anayetazama uhalisia wa jamii zetu leo anaona kiwango cha changamoto na hatari zinazotukabili katika ngazi mbalimbali kutokana na kuingizwa kwa fikra za Kimagharibi na ushawishi wa fahamu hatari katika tabia za maisha yetu.