Ulinzi Halisi kwa Mwanawake Uko katika Nidhamu ya Kisiasa Inayomrudishia Dori yake Muhimu katika Ujenzi wa Vizazi vya Ummah
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wavuti wa Kiarabu ya BBC, chini ya kichwa "Unyanyasaji: siri iliyofichuliwa katika maisha ya waandishi wa habari wa kike wa Kiarabu," uliwasilisha hali tatu mbaya kwa waandishi wa habari wa kike kutoka nchi tofauti za Kiarabu, ambao walizipitia wakati wakiendelea na kazi zao.