Watoto wa Ummah wa Kiislamu Wanazama Baharini na Serikali Zinawapuuza Huku Zikikimbilia kutoa Masharti ya Uaminifu na Utiifu kwa Dola za Kikoloni!
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa lilitangaza, mnamo siku ya Alhamisi tarehe 12/11/2020, kwamba wahamiaji 74 waliuawa wakati boti lao lilipozama katika pwani ya Libya