Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 493
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi yenye kichwa “Enyi Majeshi ya Waislamu Je, Mnaiacha Gaza Pekee Yake katika Kukabiliana na Mayahudi na Makruseda?!” baada ya swala ya Ijumaa kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu.
Mwezi wa Furqan umekujieni. Unawajibisha kutofautisha baina ya haki na batili. Basi kuweni watiifu kwa Mwenyezi Mungu (swt) na Mtume wake (saw), na jiepushe na ukafiri, makafiri, unafiki na wanafiki. Hakuna hukmu inayostahili kutawala isipokuwa ya Mwenyezi Mungu (swt).
Kuanza na Kumalizika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan Kunaamuliwa tu na Muandamo wa Kisharia Pekee wa Hilal (mwezi mwandamo).
Uchunguzi uliochapishwa na gazeti la Ujerumani Deutsche Welle mnamo tarehe 14/04/2024 uliisifia UAE kama kituo cha mamluki barani Afrika na Mashariki ya Kati, haswa Yemen na Sudan.
Maoni ya habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli… Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Hatimaye Jenerali Francis Ogolla amezikwa. Baada ya kifo na mazishi, kuna haja ya kuzingatia mambo yafuatayo:
Idara ya Ujasusi ya Mkoa wa Kandahar inawazuia wabebaji Da’wah kadhaa wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Afghanistan kwa miezi 12 iliyopita. Wiki hii, imefikia kipindi chake cha mwaka mmoja. Mbali na kuteswa na maafisa wa ujasusi, wamekuwa korokoroni bila hukumu kutoka kwa mahakama wakati huu.
Sükîna Aslan, ambaye alikuwa miongoni mwa kina dada wa kwanza nchini Uturuki ambaye alibeba da’wah na kujitolea maisha yake kuregesha maisha kamili ya Kiislamu kama mwanamke mwema na muumini, alisalimisha roho yake jana kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema.