Alhamisi, 22 Shawwal 1447 | 2026/04/09
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Ziara ya Donald Lu nchini Bangladesh Inafichua Sura ya Halisi ya Demokrasia na Urithi wa Watawala wa Kisekula wa Utiifu kwa Mabwana wa Kikoloni

Ndani ya wiki moja ya ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Marekani kwa Asia Kusini, Admiral Eileen Laubacher, afisa mwengine wa ngazi ya juu wa Marekani Donald Lu, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Asia ya Kusini na Kati, alitembelea Bangladesh kwa siku mbili kuanzia Januari 14 hadi Januari 15.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Kwa Mara ya Tatu, Hotuba za Halaiki Zilitolewa dhidi ya Muundo wa Makubaliano katika Msikiti Mkuu Jijini Khartoum

Ndani ya wigo wa kampeni ambayo Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan inaifanya dhidi ya muundo wa makubaliano, leo Alhamisi tarehe 5/1/2023, hizb ilitoa hotuba za halaiki kwa mara ya tatu baada ya swala ya Adhuhuri katika Msikiti Mkuu jijini Khartoum

Soma zaidi...

Kifungo cha Miaka 50 kwa Watuhumiwa wa Ugaidi ni Kushindwa kwa Propaganda ya Vita vya Ugaidi Tanzania

Mnamo tarehe 16/12/2022, Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Kanda ya Songea, Kusini mwa Tanzania iliwahukumu Waislamu sita akiwemo kikongwe wa miaka 73 kifungo cha miaka 50 jela baada ya kupatikana na “hatia” ya kuendesha vitendo vya kigaidi na kupanga kuiangusha serikali.

Soma zaidi...

Wako wapi Wanaume?

Mwanachuoni, Sayyid Qutb, katika kitabu chake kwa jina, “Katika Kivuli cha Qur’an” kuhusiana na aya: ﴾وَإِذۡ قَالَ رَبُّكَ لِلۡمَلَـٰٓٮِٕكَةِ إِنِّى جَاعِلٌ۬ فِى ٱلۡأَرۡضِ خَلِيفَةً۬﴿ “Na pale Mola wako Mlezi alipo waambia malaika, ‘Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (mfwatizi).’”

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu