Vichwa vya Habari 17/12/2022
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Rais wa Ufaransa amesema kondomu zitatolewa bure katika maduka ya dawa kwa watu wenye umri wa miaka 18 hadi 25 katika jaribio la kupunguza mimba zisizohitajika miongoni mwa vijana.



