Jumatatu, 28 Muharram 1448 | 2026/07/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Leicester haihusu Ubaniani na Uislamu, lakini inahusu Hindutva na Malengo yake ya Ufashisti kote Ulimwenguni

Machafuko ya hivi majuzi jijini Leicester kwa mara nyingine tena yameangaza mwanga kuhusu itikadi kifashisti ya mrengo wa kulia ya Hindutva. Ghasia za Leicester haziwezi kulaumiwa kwa mvutano kati ya jamii au mechi ya kriketi, kama ambavyo mabadiliko ya tabianchi hayawezi kulaumiwa kwa kutovaa makoti yalitengezwa kwa sufi. Kuna usuli wa masuala haya ambao hauwezi kupuuzwa.

Soma zaidi...

“Basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi mkiwa nyinyi ni Waumini.”

Waislamu na wasiokuwa Waislamu kwa pamoja walisusia ombi la kutapatapa la kukubaliwa lililoonyeshwa katika msikiti wa katikati mwa London wiki hii. Vyombo vya habari vilialikwa kutazama watoto wa Kiislamu wakilazimishwa kuimba wimbo wa taifa wa Uingereza, ingawa ni maombi ya kumuombe mfalme na ahifadhiwe, atutawale na kuwa washindi juu yetu.

Soma zaidi...

Ripoti ya Habari ya Sudan

Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan katika wilaya na mikoa mbali mbali ya nchi ili kujenga rai jumla yenye ufahamu juu ya hukmu za Uislamu na suluhu zake zinazohusiana na mifumo mbali mbali ya maisha, ambazo zimeshughulikia mgogoro ya utawala na mipango inayopendekezwa kuutatua, na maafa ya mafuriko na mvua zilizonyesha katika mikoa mbalimbali nchini...

Soma zaidi...

Katiba za kutungwa na Wanadamu ni rahisi kukengeukwa na kubadilishwa

Mahakama ya Upeo imetoa uamuzi wa kuusambaratisha mradi wa ujenzi wa madaraja lakini ikafungua dirisha kwa vinara wa makubaliano ya ‘handshake’ kuanzisha marekebisho  mpya ya kikatiba. Kwenye uamuzi wake wa kihistoria, siku ya Alhamisi 31 Machi, 2022 jopo la majaji saba lilibatilisha hoja tano za mahakama ya rufaa zilizotumia kupinga mabadiliko ya kikatiba kama yalivyopendekezwa na mradi wa BBI.

Soma zaidi...

Mamlaka ya Palestina Inaendelea kutekeleza Dori ya Uvamizi katika Umwagaji damu ya Wapalestina

Kwa kushirikiana na umbile la Kiyahudi na uhali wake, vikosi vya Mamlaka ya kihalifu ya Palestina (PA) huko Nablus, jana usiku, tarehe 9/19/2022, walitekeleza uhalifu wao mbaya wa kumuua kijana Firas Yaish na kuwajeruhi wengine kadhaa, wakati wa uwakandamizaji wao wa waandamanaji wanaopinga kukamatwa kwa Mujahidina Musab Shtayyeh na Brigedia Jenerali Tabila ambao wanatafutwa na umbile la Kiyahudi wakati huo huo vikosi vya uvamizi vilikuwa vikikamata watu katika miji ya Ukingo wa Magharibi, na walowezi walikuwa wakivamia Mji wa Mkongwe wa Hebron wakiwa na ulinzi wa jeshi lao.

Soma zaidi...

Tusipozisukuma Dola za Kikafiri Katika Mwelekeo Sahihi, Zitatusukuma Katika Mwelekeo wa Makosa!

Katika mkutano na waandishi wa habari mnamo Septemba 14, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Ned Price alisema: “Tumeeleza waziwazi kwamba hatuangalii kutambuliwa. Tunaangalia ni wapi - yalipo maslahi yetu, ushirikiano wa kivitendo pekee, ushirikiano wa kivitendo ambao tunatumai utaisukuma Taliban katika mwelekeo sahihi, na tutaendelea kushirikiana nao kwa msingi huo hadi tuone maboresho katika maeneo ambayo tunajali zaidi kuyahusu.”

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu