Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 327
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 327
Vichwa Vikuu vya Toleo 327
Sifa ya Kuwa Taifa Bora la Umma wa Kiislamu Lazima Ifungamanishwe na Kusimamishwa Khilafah
Wilayah Uturuki: Ujasusi wa Erdogan Wawakamata Kina Dada Wanne kwa Kutaka Kwao Kusimamishwa Khilafah kutoka Ngome ya Amuriyah!
Chini ya uongozi wa Amir wa Hizb ut-Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Al-Rashta, Mwenyezi Mungu amhifadhi,
Mnamo tarehe 1 Rajab 1442H sawa na tarehe 13 Februari 2021, wanaharakati wa Hizb ut Tahrir Tanzania walifanya maandamano baridi katika mikoa mbalimbali ikiwa ni uzinduzi rasmi wa kampeni inayoitwa: "Kumbukizi ya miaka 100 ya Kuangushwa Khilafah”.
Minbar ya Ummah: Utekaji Nyara wa Ujasusi wa Kituruki wa Mashababu wa Hizb ut-Tahrir katika Mji wa Azaz!
Uingereza: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Miaka Mia Moja Bila ya Khilafah! Isimamisheni, Enyi Waislamu
Kenya: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Kwa hoja ya ukarabati wa Reli ya Nairobi hadi Kisumu, Shirika la Reli la Kenya lilibomoa msikiti wa Jami’a na majumba ya wakaazi wa eneo la Kibos kwenye Jimbo la Kisumu hali iliowaacha familia nyingi bila makao.