COVID-19 na Idadi Isiowiana ya Watu Weusi Walioathiriwa na Virusi Hivi
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Maafisa wa afya wameshughulishwa na matokeo ya kutowiana juu ya Waamerika weusi.
Maafisa wa afya wameshughulishwa na matokeo ya kutowiana juu ya Waamerika weusi.
Kama ilivyo katika kila mtihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt), iwe ni tetemeko la ardhi au mafuriko, Waislamu watukufu wa Pakistan waliitikia kwa subra na upole mtihani wa mkurupuko wa virusi vya Korona (Covid-19).
Hizb ut Tahrir Wilayah Syria: Maandamano Katika Al-Sahara Dhidi ya Nidhamu ya Kimakundi na Bwana Wao Uturuki na Dhidi ya Uovu wa Majeshi ya Usalama na Uchafuzi Wao wa Matukufu!
Vichwa Vikuu vya Toleo 285
Denmark: Pongezi kwa ujio wa Mwezi wa Ramadhan Ulio Barikiwa 1441 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon katika mji wa Sidon imetoa wito wa swala za Ijumaa kufanyika katika uwanja wa wazi mjini humo, miezi kadhaa baada ya kukatizwa kwa swala za Ijumaa.
Uwajibu wa Jihad utabakia ima Serikali ya Khilafah ipo ama la. Kwa muda, Wamagharibi wamejaribu kupandikiza mkanganyiko katika jambo hili kwa sababu wana hofu juu ya hisia za uungaji mkono Jihad walizonazo Waislamu.
Vichwa Vikuu vya Toleo 284
Ulaya: Kongamano la Chuo Kikuu kwa anwani “Ujumbe wa Uislamu” ndani ya mji mkuu wa Ubelgiji Brussels
Mkutano huo ulianza kwa kusomwa aya za Qur’an Tukufu. Mada ya kwanza iliyo wasilishwa iligusia Umoja wa Waislamu. Muhadhara huo ulikuwa kuhusu Itikadi na kuwayeyusha watu na mataifa ndani ya chungu kimoja.