Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh Imefanikiwa Kuandaa Kongamano la Mtandaoni kwa kichwa: “Kielelezo cha Katiba ya Dola ya Khilafah”
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh, leo Ijumaa, 28 Februari 2020, Imefanikiwa Kuandaa Kongamano la Mtandaoni kwa kichwa: “Kielelezo cha Katiba ya Dola ya Khilafah”.



