Kujiondoa kwa Amerika Kutoka Katika Mkataba wa Makombora Pamoja na Urusi
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri wa Kigeni wa Amerika alitangaza rasmi mwanzoni mwa mwezi huu kujiondoa kwa Amerika kutoka katika Mkataba wa INF (Nguvu za Kinuklia za Masafa ya Kati na Kati – upunguzaji wa makombora ya masafa ya kati na kati na masafa mafupi) uliotiwa saini pamoja na Urusi mnamo 1987.



