Al-Waqiyah TV: Kipindi cha Miangaza, “Trump na Modi mbele ya uso wa Uislamu!”
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
MianMaoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
MianMaoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Mfalme wa Saudi Arabia Salman mnamo Alhamisi, 20 alipokea ujumbe, kutoka Kituo cha Mazungumzo ya Dini mseto na Thaqafa mseto cha Mfalme Abdullah bin Abdulaziz (KAICIID) ulijumuisha Mzayuni rabbi, David Rosen.
Hii ni kufuatia msururu wa kuwakamata wanawa wafalme wa ngazi za juu, Mwana Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad bin Salman aliwaweka chini ya ulinzi wana wafalme wakuu.
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Maoni ya Kisiasa ya Kila Wiki
Kiongozi wa kiulimwengu wa Kanisa Katoliki, Papa Francis yuko katika ziara ya kipapa barani Afrika ya siku tano. Alipokuwa nchini Kenya, Papa huyo alifanya mazungumzo na viongozi wa madhehebu mbali mbali ya kidini kuhusiana na ushirikiano na umoja wa kidini miongoni mwa dini tofauti tofauti.
Kifo cha mwanafunzi mmoja na kujeruhiwa vibaya kwa wanafunzi thelathini wa Chuo Kikuu cha Strathmore katika jiji kuu la Nairobi katika Zoezi lililo kwenda mrama la Kupambana na Ugaidi ni jambo la kuvunja moyo na ambalo lastahili kukemewa na kila muekaji amani.
Katika mwezi wa Rabi ul-Awwal, sherehe na shamra shamra nyingi hushuhudiwa miongoni mwa Waislamu wengi, kama kumbukumbu ya mazazi ya Mtume Muhammad (saw). Matukio haya ni thibitisho la kutosha linalo ashiria kuwa Ummah huu ungali umejifunga na hamasa za kutukuza ibada zao.
Vichwa Vikuu vya Toleo 277
Katika hatua ya kijinga inayofanana na uongozi wake, Mwana wa Mfalme wa Saudi Mohammad Bin Salman, anayejulikana kama MBS, alibuni janga la mafuta wiki hii lililoshinikiza masoko ya fedha na linaweza kuwaharibia wazalishaji mafuta wa Amerika.