Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi Sheikh Ibrahim Adam Muhammed Ahmed
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa nyoyo zinazonyenyekea kwa Qadhaa na Qadar ya Mwenyezi Mungu (swt), na kwa macho yanayobubujika machozi, Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan inamuomboleza aliyesamehewa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (swt):