Huku Wakiwa Wamefinikwa na Aibu na Fedheha, Watawala wa Sudan Wanakubaliana na Umbile la Kiyahudi juu ya Ushirikiano wa Kijasusi na Usalama ili Kuupiga Vita Uislamu
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waziri wa Ujasusi katika umbile la Kiyahudi, Eli Cohen, alikutana na Mwenyekiti wa Baraza la Enzi kuu Abdel Fattah Al-Burhan, Waziri wa Ulinzi Yassin Ibrahim, na Waziri Mkuu Abdullah Hamdok, na ilikubaliwa,