Kuvunjwa kwa Khilafah mnamo Machi 3, 1924 M ni Janga Kuu la Karne!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Pindi Khilafah ilipovunjwa na Wakoloni wa Magharibi wakiongozwa na Uingereza na kwa msaada wa wasaliti wa Kiarabu na Kituruki mnamo Machi 3, 1924 M, ngao ya Waislamu ilivunjwa, nchi yao iligawanyika, na wakawa katika hatari ya mashambulizi ya makafiri wa kikoloni kutoka pande zote.